Skip to main content
Skip to main content

Dira ya Kaunti | Waachuzi Kitengela wadai kufurushwa maeneo ya biashara

  • | KBC Video
    55 views
    Duration: 4:24
    Wachuuzi huko Kitengela katika Kaunti ya Kajiado, wanalalamikia unyanyasaji kutoka kwa maafisa wakorofi wa serikali ya kaunti na wafanyabiashara binafsi. Wachuuzi hao wanawashutumu maafisa hao kwa kuwafukuza kinyume cha sheria kutoka katika maeneo yao ya biashara.Kwa haya na mengine mengi ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive