Dkt Eseli Simiyu adai hatishwi na propaganda za seneta Wetangula kwa Ford Kenya

  • | West TV
    Katibu mkuu wa chama cha Ford Kenya Dkt Eseli Simiyu amejitokeza na kudai kuwa Seneta Wetangula anatambua kuwa yeye ni ndiye Katibu Mkuu wa chama hicho mwenye mamlaka ya kutangaza siku ya uchaguzi wa chama hicho