Dkt. Esther Muoria azindua rasmi mradi wa upanzi wa miti katika vyuo vya kiufundi

  • | KBC Video
    75 views

    Katibu Mkuu wa vyuo vya mafunzo ya kiufundi nchini (TVET) Dkt.Esther Muoria amezindua rasmi mradi wa upanzi wa miti katika Vyuo vya kiufundi katika chuo ya kiufundi cha Nyeri.

    Muoria ameweka wazi kuwa kama Wizara wanalenga kupanda miche bilioni moja chini ya miaka kumi katika juhudi za kuafikia lengo la Rais la kupanda miche bilioni kumi na tano kote nchini.

    Kadhalika amesema idadi kubwa ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya mafunzo ya kiufundi itasaidia pakubwa kuafikia lengo hili

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News