Dkt. Jane Kere aongoza ujumbe wa Kenya kurejea kutoka AU, Addis Ababa

  • | NTV Video
    354 views

    Katibu mkuu wa wizara ya utumishi wa umma Daktari Jane Kere ameongoza ujumbe wa Kenya kurejea nyumbani baada ya kusherehekea siku ya utumishi wa umma barani afrika katika makao makuu ya muungano wa Afrika yaliyoko jijini Addis Ababa, Ethiopia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya