Skip to main content
Skip to main content

Dkt. John Khaminwa atuzwa mwanasheria Bora 2025

  • | KBC Video
    310 views
    Duration: 2:08
    Tume ya kimataifa ya wanasheria ICJ imewahimiza watu zaidi kujitolea kulinda katiba na utawala wa sheria. Tume ya ICJ ilitoa wito huo wakati wa sherehe ya tuzo ambapo Dkt. John Khaminwa alitunukiwa tuzo ya mwanasheria Bora wa Mwaka (2025), kwa utendaji wake bora katika taaluma ya uanasheria ambayo amehudumu kwa zaidi ya miongo sita. Dkt. Khaminwa alisifiwa kwa ujasiri wake na imani yake kwa sheria na kwa hali ngumu aliyopitia wakati wa enzi ya ukoloni katika kupigania haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive