Dkt Kanem wa UNFPA aeleza haki za afya ya uzazi ni jukumu la nani...

  • | VOA Swahili
    77 views
    Repoti ya UNFPA ya hali ya idadi ya watu duniani inakadiria kuwa karibia vifo 800 vya uzazi hutokea kila siku hasa katika nchi zinazoendelea na nyingi zinaweza kuzuilika. Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari akikuletea maelezo ya MkurugenzI Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UNFPA, akielefafanua sababu kuu zinazopelekea vifo hivyo. #repoti #unfpa #vifo #uzazi #afya #migogoro #voa #voaswahili #umojawamataifa #UN #dktnataliakane