DKT Richard Lesiyampe atwaa tena mamlaka ya KNH

  • | Citizen TV
    98 views

    Lesiyampe amekabidhiwa rasmi mamlaka na afisa mkuu anayeondoka daktari Evanson Kamuri aliyehudumu wadhifa huo kwa miaka sita.