#DL AJIRA MILIONI 400 ZAOWEKA KUFUATIA MLIPUKO WA CORONA DUNIANI

  • | VOA Swahili
    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Kazi Duniani Guy Ryder anasema Athari za janga la Covid 19 kwenye ajira linazidi kuwa baya baada ya nafasi za ajira zipatazo milioni 400 kupotea katika nusu ya kwanza ya mwaka,. Patrick Nduwiman Anasoma taarifa zaidi.