#DL BIDEN AMSHAMBULIA TRUMP KUFUATIA TUHUMA ZA URUSI KUWALIPA WATALIBANI KUUWA JESHI LA MAREKANI

  • | VOA Swahili
    Joen Biden, mgombea mtarajiwa wa urais kwa tiketi ya chama cha Democratic, amemshutumu rais Donald Trump kwa jinsi anavyoshughulikia shutuma za Russia kuwalipa wanamgambo kuwaua wanajeshi wa Marekani. Ni ishara ya ukosoaji wa muda mrefu wa Biden kwa sera za usalama na mambo ya nje za Trump. Khadija Riyami anaisoma ripoti ya mwandishi Brian Padden. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC