#DL BUNGE MAREKANI LAPITISHA VIKWAZO KWA BENKI ZA KICHINA KUFUATIA MACHAFUKO YA HONG KONK

  • | VOA Swahili
    Bunge la wawakilishi la marekani limepitisha vikwazo vipya vinavyohusiana na Hong kong baada ya Beijing kupitisha sheria ya usalama ambayo ilishutumiwa na nchi kote duniani. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC