#DL CHINA YABADILI SHERIA YA USALAMA YA TAIFA DHIDI YA HONG KONG

  • | VOA Swahili
    Bunge la china leo limeidhinisha mswada wa sheria wa usalama wa kitaifa kwa ajili ya Hong kong hivyo kuruhusu mabadiliko makubwa ya maisha kwenye koloni hilo la zamani la uingereza, tangu lirudi chini ya utawala wa china miaka 23 iliyopita. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC