#DL COVID-19 YASHIKAKASI MPYA MAREKANI NA DUNIANI KOTE, WHO YAONYA

  • | VOA Swahili
    Shirika la afya duniani linaeleza wasi wasi kutokana na kuogezeka kwa maambukizo ya virusi vya corona katika baadhi ya nchi wakati idadi ya walofariki duniani imefikia nusu milioni kutokana na janga hilo.#Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC