#DL DEVERA BODABODA UGANDA WABUNI KINGA DHIDI YA COVID19 KWA WATEJA WAO

  • | VOA Swahili
    uangazie masuala ya teknolojia, ambapo, kama njia mojawapo ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Corona, mbunifu mmoja nchini Uganda, ameunda kifaa cha plasitiki, ambacho kinawekwa kati ya mwendesha pikipiki na abiria. Kizuizi hicho, siyo tu kinga ya maambukizi, bali pia kinatumika kama kifaa cha usalama. Mwandishi wa VOA Halima Athumani, akiwa mjini Kampala, ametayarisha ripoti inayosimuliwa hapa mna BMJ Muriithi.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC