#DL Fedha za ufisadi zaruhusiwa kusaidia majanga ya corona Kenya

  • | VOA Swahili
    Serikali ya Kenya kupitia ofisi ya upelelezi imesema itatumia kiasi cha TSh bilioni 2 fedha zilizoshikiliwa kupitia ufisadi nchini humo kusaidia majanga ya corona virus.#corona #covid19 #DunianiLeo #VOAswahili