#DL KESI YA MAUAJI YA JAMAL KHASHOGY YAANZA KUSIKILIZWA UTURUKI

  • | VOA Swahili
    Kesi ya watuhumiwa ambao hawakuwepo mahakamani ikiwemo wafanyakazi wa karibu wa mwana mfalme wa Saudi arabia Mohammaed Bin Salman , wanaoshutumiwa kwa mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Kashogi mwaka 2018 imeanza katika mji wa Istanbul leo.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC #KASHOGY