#DL Liberatus, Mtanzania anayefanya kazi katika hospital ya Johns Hopkins azungumzia kinga ya corona

  • | VOA Swahili
    Kiberatus Mwangonda ni mtanzania, mtaalam katika mfumo wa upumuaji (Respiratory therapist) katika hospitali ya Johns Hopkins akiwa katika mahojiano na VOA amezungumzia mbinu ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya corona kwa wahudumu wa afya. #corona #covid19 #DunianiLeo #VOAswahili