#DL MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

  • | VOA Swahili
    Wakati Tanzania ikijiandaa na uchaguzi Mkuu mwaka huu, vyama vya siasa vinaendelea kujipanga kwa michakato ya ndani ikiwemo kuwapata wagombea wa nafasi za Urais. Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza mwishgoni mwa wiki kuwania tena Urais wa Zanzibar.. Idd Uwesu ana taarifa kamili. #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC