#DL MAGAIDI WASHAMBULIA SOKO LA HISA PAKISTAN

  • | VOA Swahili
    Takriban watu tisa wameuwawa watu wenye silaha walipovamia jengo la soko la Hisa leo Pakistan katika mji wa Karachi ulioko kusini , polisi imesema. Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC