#DL MAREKANI YARIPOTI MAAMBUKIZI MAPYA 55,000 YA COVID 19

  • | VOA Swahili
    Marekani Alhamisi imeripoti kesi mpya 55,000 za COVID-19, rekodi mpya ya kila siku duniani kwa ajili ya janga la virusi vya corona wakati maambukizi yanaongezeka katika majimbo mengi.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC