#DL MAREKANI YATHIBITISHA ,TRUMP ALIPEWA TAARIFA YA KULIPWA WATALIBANI ILI KUAUWA JESHI LAKE

  • | VOA Swahili
    Ikulu ya Marekani imethibitisha kwamba Rais Donald Trump aliarifiwa kuhusu tuhuma kua rashia iliwapatia wapiganaji wa Taliban zawadi ili kuwauwa wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan, siku moja baada ya kusema hajaarifiwa. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC