#DL MAREKNI YAAHIDI KENYA DOLA BILIONI 5 KUKABILIANA CORONA

  • | VOA Swahili
    Marekani imesema itaipa kenya shillingi za kenya bilioni tano kusaidia sekta ya afya ya nchi na kufufua uchumi . kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo -USAID , Washington ilitangaza kusaidia Kenya katika juhudi za kupambana na COVID-19 na kufufua uchumi wake kwa ajili kufikia changamoto za haraka za muda mrefu ambazo zinasababishwa na virusi vya corona. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC