#DL MASHAMBULIZI YA KIGAIDI YASABABISHA VIFO VYA WATU 27 MALI

  • | VOA Swahili
    Takriban raia 27 wameuwawa katika mji wa kati wa Mali, Mopti wakati watu waliokuwa na silaha wakiwa kwenye pikipiki walipovamia vijiji vya wakulima wa kabila la Dogon karibu na mpaka wa Burkina Faso.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC