#DL MGOGORO WA MTO NILE WAFIKIA PABAYA KATI YA MISRI,SUDAN NA ETHIOPIA

  • | VOA Swahili
    Baraza la usalama la umoja wa mataifa linajadili mzozo wa matumizi ya mto nile wa nchi za sudan, Ethiopia na misri kufuatia ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme Ethiopia. Nchi hizo zimekuwa katika mashauriano kwa muda na hakuna makubaliano rasmi. Khadija Riyami anasoma taariofa kamili. Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC