#DL MIMBA ZA UTOTONI NI JANGA NCHNI KENYA

  • | VOA Swahili
    Visa vya watoto wadogo kupata mimba bado vinazidi kuripotiwa katika mataifa kadha. Kwa siku za hivi maajuzi visa vya watoto wa shule kupewa mimba na jamaa zao wa karibu vimezua mdahalo na hisia mseto nchini Kenya baada visa vingi zaidi kuripotiwa kwenye kipindi hiki ambapo wanafunzi wako nyumbani kufuatia mlipuko wa virusi vya corona. Huba Abdi anaarifu zaidi. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC