#DL MSANII KUTOKA NIGERIA AONYESHA UBUNIFU KUPITIA MICHORO

  • | VOA Swahili
    Katika Burudani hivi leo tunamuangalia msanii wa kike mwenye umri wa miaka 25 kutoka kaskazini mwa Nigeria ambaye amechukua jukumu la kubadilisha mtazamo kuhusu wanawake na sanaa. Maryam Umar Maigida ameiambia VOA Hausa kuwa anatumia sanaa yake ya michoro kutafuta haki kwa wanawake wahanga wa visa vya ubakaji. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC