#DL NCHI ZA SAHEL G5 ZAKUTANA KUJADILIANA USALAMA WA UKANDA WA AFRIKA MAGHARIBI

  • | VOA Swahili
    Viongozi wa kimataifa na Kieneo kuhusu ghasia katika eneo la Sahel, wamekubaliana katika mazungumzo yao wiki hii kuzidisha kampeni za kijeshi dhidi ya wanamgambo wa kiislamu katika eneo hilo huko Afrika Magharibi. Idd Ligongo anaisoma ripoti kamili.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC