#DL NZIGE WAPYA WAVAMIA TURKANA KENYA

  • | VOA Swahili
    Wimbi jipya la nzige limevamia eneo la kaskazini mwa Kenya. Kizazi kipya cha nzige hawa kimeharibu vibaya eneo maskini la Turkana nchini humo. Kundi la kwanza la nzige lilisafiri kutoka magharibi mwa Yemen, na mwaka huu walifika Kenya, Somalia na Ethiopia. Khadija Riyami anaisoma ripoti kamili. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC