#DL RAIS MAGUFULI APATA ZAIDI YA WADHAMINI MIILIONI MOJA

  • | VOA Swahili
    Nchini Tanzania Rais John Magufuli leo ametekeleza hatua nyingine ya kutaka kuchaguliwa tena baada ya kurejesha fomu za uteuzi wa chama chake cha CCM, kugombania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kujua mengi zaidi nampisha Mwanahabari wetu Idd Uwesu.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC