#DL RAIS MPYA MALAWI AAPISHWA

  • | VOA Swahili
    Salamu za pongezi zinaendelea kumiminika malawi kutoka mataifa kadhaa duniani wakati nchi hiyo inaanza wiki ikiwa na uongozi mpya baada ya kuapishwa kwa rais lazarus Chakwera jumapili. Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC