#DL Serikali ya Uganda yaanza mgao wa chakula kwa raia wake kutokana na mlipuko wa corona

  • | VOA Swahili
    kufuatia sheria ya kutotoka ndani nchini Uganda ili kupunguza maambukizi ya virusi vya corona serikali kupitia jeshi lake imeanza kugawa chakula ili kukidhi maihitaji ya wanainchi wake.