#DL SERIKALI YAINGILIA KATI MZOZO WA ARDHI SENEGAL

  • | VOA Swahili
    Kilima cha Mamelles, pamoja na pwani yake na Mnara wa taa ni ishara za mji mkuu wa Senegal wa Dakar. Lakini tangu miaka ya 2000, vielelezo hivyo vimetishiwa na miradi ya ujenzi wa majumba ambayo imeibuka kwenye kando ya pwani hiyo. Serikali inasema inafanyia kazi muswada wa kulinda maeneo machache ambayo bado hayajaanza kujengwa. Sunday Shomari anayo taarifa kamili.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC