#DL TAHARUKI ETHIOPIA KUFUATIA KIFO CHA MWANAMUSIKI MAARUFU NCHINI HUMO

  • | VOA Swahili
    Mazishi ya mwimbaji maarufu wa Ethiopia Hachalu Hundessa, aliyeuwawa kwa kupigwa risasi yamefanyika wakati ghasia za kupinga kifo chake zimeenea katika jimbo la Oromia ambako alionekana kama shujaa. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC