#DL TAHARUKI HONG KONG KATI YA POLISI NA WAANDAMANAJI

  • | VOA Swahili
    Polisi wa hong kong wametumia mipira ya maji ya maji na gesi ya machozi kutawanya watu leo waliokuwa wanaandamana baada ya china kuanza kutekeleza sheria mpya ya usalama na wamekamata watu kwa mara ya kwanza, wakionya kutoa adhabu kwa wanaotoa wito wa kujitenga au kuhujumu lawala wa jiji hilo.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC