#DL TANZANIA YAFUNGUA UTALII NCHINI

  • | VOA Swahili
    Hatua ya Tanzania kufungua tena nchi kwa ajili ya utalii, baada ya Rais John Magufuli kutangaza kuwa nchi hiyo haina tena Covid 19, imefurahiwa na wengi katika sekta hiyo. Hata hivyo, baadhi ya watu wanaoshughulika na watalii wana wasi wasi kuwa jinsi Tanzania ilivyoshughulikia mlipuko wa corona huenda ukawafanya watalii wa kigeni kukwepa nchi hiyo.Khadija Riyami anaisoma ripoti ya Mwandishi wa VOA Charles Kombe kutoka Morogoro.#Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC