#DL TANZANIA YATOKA KATIKA KUNDI LA NCHI MASIKINI

  • | VOA Swahili
    Serikali ya Tanzania imebainisha jitihada zilizofanywa na serikali ya nchi hiyo na kusababisha Benki ya dunia kuitangaza kuingia katika kundi la nchi za kipato cha chini-kati . Mwandihi wetu Idd Uwesu anafafanua zaidi katika taarifa hii. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC