#DL TEMBO WAUAWA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI BOTWANA

  • | VOA Swahili
    Mamia ya Tembo wamekufa vifo vya kushangaza nchini Botswana katika eneo la Okavango Delta, kwa mujibu wa afisa ambaye amesema si ujangili kwa vile pembe zao hazikuchukuliwa. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC