#DL UBELGIJI YAOMBA MSAMAHA KWA DHULUMA YA KIKOLONI DRC, CONGO

  • | VOA Swahili
    Mfalme wa ubelgiji Philippe ameeleza majuto yake katika jamhuri ya kidemokrasi ya congo kwa dhuluma ya ukoloni wa nchi yake. Mfalme huyo ametoa maelezo yake kwa njia ya barua kwa rais Felix Chisekedi katika sherehe za uhuru wa miaka 60 wa Congo.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC