#DL UMOJA WA MATAIFA WAADHIMISHA MIAKA 75 TANGU KUUNDWA

  • | VOA Swahili
    Umoja wa Mataifa leo unaadhimisha miaka 75 tangu kuzinduliwa kwake, katika dunia ambayo imekuwa ni tofauti toka ulipoundwa umoja huo. Taarifa hii inaeleza jinsi ya kukabiliana na katika kusonga mbele. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili.#Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC