#DL UTAPIAMLO WATESA WATOTO YEMEN

  • | VOA Swahili
    Leo katika afya tunazungumzia familia moja isiyokuwa na makazi nchini Yemen inavyotaabika kumlea mtoto wao wa miezi saba ambaye anaathiriwa na utapiamlo mbaya. Wafanyakazi wa kutoa misaada wanaonya kwamba Yemen huenda ikatumbukia katika hali ya njaa wakati janga la virusi vya corona likisambaa kote taifa hilo maskini na mashirika ya misaada yanajikuta yakiwa yamepunguziwa ufadhili kwa kiasi kikubwa. Khadija Riyami anaisoma ripoti kamili.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC