#DL VIJANA KENYA WACHAPWA NA POLISI WAKATI WAKIDAI MALIPO KWA SERIKALI

  • | VOA Swahili
    Vijana walionufaika na mradi wa kazi mtaani kutoka kwa serikali kuu ya Kenya katika juhudi za kukabiliana na virusi vya corona, hii leo wamekabiliana na maafisa wa usalama jijini Nairobi kwa madai kuwa hawajalipwa fedha zao.Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC