#DL WALIOPONA CORONA WAKABLIWA NA UNYANYAPAA KENYA

  • | VOA Swahili
    Visa vya virusi vya corona vinaendelea kuongezeka nchini Kenya na kufikia 7000. Katika Taarifa ya kila siku kwa vyombo vya habari, wizara ya afya imedokeza kuwa wakenya wanaonekana kulegeza msimamo juu ya maagizo yanayotolewa ya kujikinga dhidi ya virusi hivo. Visa hivyo vikiongezeka , idadi ya wagonjwa walioruhusiwa kuondoka hospoitalini baada ya kudhibitishwa kupona covid-19 pia imeongezeka. Huba Abdi amekutana na mmoja wa walioruhusiwa kuenda nyumbani baada ya kuambukizwa corona na hii hapa Taarifa yake. Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC