#DL WANAFUNZI WAKENYA WALIOKWAMA NJE WARUDISHWA NCHINI

  • | VOA Swahili
    Wanafunzi zaidi ya 100 raia wa Kenya waliokuwa wamekwama nchini Sudan kutokana na janga la corona hatimaye wamerejea Kenya baada ya mazungumzo kati ya nchi hizo mbili. Mwandishi wetu wa Mombasa Kioko Josephat ana maelezo zaidi.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC