#DL WATALAAM WATABIRI CORONA KUONGEZEKA MAREKANI

  • | VOA Swahili
    Kesi mpya za maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 zimeongezeka Marekani kwa zaidi ya 47,000 jumanne, kwa mujibu wa shirika la habari la ROITA , ongezeko kubwa kwa siku tangu kuzuka kwa janga hilo wakati mtaalamu mwandamizi wa serikali wa magonjwa ya kuambukiza, anaonya kuwa idadi hiyo itaongezeka mara mbili zaidi hivi karibuni.