#DL ZAIDI YA WATU 50 WAUAWA BAADA YA MAANDAMANO KUPINGA KIFO CHA MWANAMUZIKI MAARUFU ETHIOPIA

  • | VOA Swahili
    Takriban watu 50 wameuwawa Oromiya ,Ethiopia wakati wakiandamana kupinga shambulizi la ufyatuaji risasi kwa mwimbaji maarufu , msemaji wa eneo hilo ameeleza leo. Mwanamuziki Haacaaluu Hundeessa aliuwawa kwa risasi jumatatu usiku katika kile polisi wanasema ni shambulizi la mauaji lililomlenga.Idhaa ya #Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC