DNC: Walz awaeleza wafuasi wake jinsi watakavyo pambana kushinda uchaguzi
Gavana wa Minnesota Tim Jumatano usiku amekubali rasmi uteuzi wa chama chake kugombea nafasi ya makamu wa rais akitumia hotuba yake ya kwenye mkutnao mkuu wa Demokratik kuwashukuru wajumbe waliofurika katika ukumbi kwa “kuleta furaha” katika uchaguzi uliobadilika kwa kumpa nafasi ya juu kuwa mgombea mwenza wake wa Makamu wa Rais Kamala Harris.
"Sijatoa hotuba nyingi kubwa kama hii, lakini nimekuw anikizungumza mara nyingi," alieleza.
Wademokrat walikusanyika katika ukumbi wa Chicago, United Center wakitumaini kujenga uchachamavu aliouleta Harris tangu kuchukua nafasi ya juu ya chama ya kugombea urais mwezi uliopita.
Wanataka kutumia furaha ya Demokratik iliyokuja baada ya Rais Joe Biden kujiondoa katika kinyang’anyiro cha urais huku akiwaambia wafuasi wake kuwa wanakabiliwa na ushindani mkali dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump.
Wamarekani wengi walikuwa hawajawahi kumsikia Walz mpaka Harris alipomfanya kuwa mgombea mwenza. Katika wiki za awali za kampeni, amewavutia wafuasi wake kutokana na uzoefu wake na alisaidia kuleta uwiano kwa uzoefu wa Harris wa mwambao kama uwakilishi wa kitamaduni wa majimbo ya Magharibikati ambao kura zao anazihitaji katika kipindi hiki. (AP).
#dnc #harris #walz #voa
5 Aug 2025
- The feature is set to revolutionalise how the messaging platform works.
5 Aug 2025
- The products have grown in popularity among women.
5 Aug 2025
- Details required to register a car in Kenya.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
6 Aug 2025
- Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
6 Aug 2025
- A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
6 Aug 2025
- A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
6 Aug 2025
- Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
6 Aug 2025
- Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
6 Aug 2025
- Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
6 Aug 2025
- The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
6 Aug 2025
- How firm's bid to turn waste into cash is paying off