Domenica Riungu anashiriki ujenzi wa vigae vya kisasa

  • | Citizen TV
    338 views

    Si rahisi sana kuwapata Wanawake wakishiriki Kazi za mikono kama vile ujenzi. Hata Hivyo tofauti na hilo, Domenica Riungu ameonekana kuelekea njia tofauti na dhana hii kwa kujishughulisha na kazi ya ujenzi wa vigae vya kisasa. Ni kazi ambayo anasema alianza baada ya kupata ujuzi kutoka nchini uchina