Dorin Chepkorir, mwanafunzi wa uuguzi akosa karo na kufanya kazi za nyumbani

  • | Citizen TV
    1,612 views

    Mtazamaji hebu tafakari ukipata nafasi ya kujiunga na chuo cha utabibu lakini ukose kutimiza ndoto hiyo na kuishia kuwafulia watu nguo? Dorin Chepkorir kutoka Marura kaunti ya Uasin Gishu alipata nafasi ya kipekee na akaitwa kujiunga na chuo cha wauguzi si mara moja si mbili lakini mara tatu lakini cha kuvunja moyo ni kuwa hajaweza kujiunga na chuo hocho kwa sababu ya kukosa karo.