Doris Mollel: "Mimi nilizaliwa kabla ya wakati na nipo hai mpaka leo"

  • | BBC Swahili
    672 views
    Mrembo aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania,Doris Mollel miaka ya nyuma, anasema aliamua kusaidia watoto njiti kuishi kwa kutoa elimu, vifaa na kuleta mabadiliko ya kisera kwasababu hata yeye alizaliwa kabla ya wakati. Anasema mpaka sasa ameshasaidia watoto njiti zaidi ya 15,000. Mwandishi wa BBC @frankmavura amekutana naye na kutuandalia taarifa hii #bbcswahili #tanzania #wanawake