Douglas Kanja aapishwa kuwa Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi

  • | Citizen TV
    1,992 views

    Douglas Kirocho kanja ameapishwa kama Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi. Jaji Mkuu Martha Koome aliongoza hafla hiyokatika mahakama ya juu.