DP Kindiki akagua ujenzi wa barabara kuu Isiolo–Mandera

  • | NTV Video
    347 views

    Naibu wa rais Kithure Kindiki leo amekagua ujenzi wa barabara kuu ya kutoka Isiolo hadi Mandera, inayopita baadhi ya sehemu kama vile Kula mawe, Samatar, Kotulo, Tarbaj, Garre na hata Rhamu, akisema ujenzi huo utakamilika mwaka wa 2027.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya